Loading trending stories…
Tanzania, Kenya zilivyojipanga kuimarisha ulinzi wa mpaka Horohoro
Back to Home

Tanzania, Kenya zilivyojipanga kuimarisha ulinzi wa mpaka Horohoro

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Polisi wa Tanzania na Kenya wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiusalama katika mpaka wa Horohoro, Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga, ili kudhibiti wahalifu wanaovuka mipaka kujificha baada ya kutenda uhalifu na kuzuia biashara haramu ya mirungi.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.