Loading trending stories…
Tanzania kuongoza uhifadhi Ziwa Tanganyika
Back to Home

Tanzania kuongoza uhifadhi Ziwa Tanganyika

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kikanda ya Mkataba wa Usimamizi Endelevu wa Mazingira ya Bonde la Ziwa Tanganyika, hatua inayoiweka katika nafasi ya kuongoza juhudi za kukabiliana na changamoto za kimazingira zinazoongezeka katika ziwa hilo.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.