Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano wa mwaka 2026 wa Mtandao wa Maadili ya Biashara Afrika (BEN-Africa), utakaofanyika Novemba 5 na 6, 2026, katika Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), kujadili uongozi wenye maadili, utawala bora na uwajibikaji katika biashara.

Back to Home
Tanzania mwenyeji mkutano waa maadili ya biashara Afrika
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
