Loading trending stories…
Tanzania yasema hakuna Ebola
Back to Home

Tanzania yasema hakuna Ebola

Mwananchi 21 minutes 1 mins read
Wizara ya Afya imesema hadi sasa hakuna mgonjwa wa Ebola nchini Tanzania, huku ikiimarisha hatua za kujikinga na kukabiliana na ugonjwa huo kufuatia mlipuko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuripotiwa kwa mgonjwa nchini Kenya aliyesafiri kutoka DRC.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.