Tanzania imeweka vipaumbele vinne vya kimkakati itakavyovisisitiza katika mkutano wa 31 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), utakaofanyika Antalya, Turkiye, Novemba 9 hadi 20, 2026.

Back to Home
Tanzania yaweka vipaumbele vinne kuelekea COP31
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
