Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), imeanzisha mpango wa ufadhili wa mafunzo ya ufundi stadi katika sekta ya kilimo utakaowanufaisha vijana 300 kutoka familia zenye kipato cha chini.

Back to Home
TBL, Veta kufadhili mafunzo ya vijana 300
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
