Loading trending stories…
TBS yaonya wanaochanganya pombe msimu wa sikukuu
Back to Home

TBS yaonya wanaochanganya pombe msimu wa sikukuu

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Wakati msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ukikaribia, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewaonya wananchi dhidi ya kuchanganya pombe na vinywaji vya kuongeza nguvu vyenye kafeini, likieleza kuwa mchanganyiko huo unaweza kuficha athari za ulevi na kumfanya mtu kunywa pombe nyingi zaidi.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.