Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mgandamizo mdogo wa hewa uliopo katika Bahari ya Hindi karibu na Visiwa vya Ushelisheli unatarajiwa kuimarika na kuwa kimbunga ndani ya siku nne zijazo.

Back to Home
TMA yaeleza uwepo kimbuka bahari ya Hindi
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
