Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Ladslaus Chang’a, amewataka wananchi kuendelea kufuatilia utabiri wa hali ya hewa na kuuzingatia, huku akisisitiza umuhimu wa kufuata maelekezo ya Serikali ili kulinda maisha na mali.

Back to Home
TMA yasisitiza uwepo wa Elnino
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
