Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri mvua za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mbalimbali nchini katika msimu wa Novemba 2026 hadi Aprili 2027, huku ikionya kuhusu uwezekano wa mafuriko, magonjwa ya mlipuko na uharibifu wa miundombinu.

Back to Home
TMA yatabiri mvua kubwa, yatahadharisha mafuriko msimu wa Novemba-Aprili
Mwananchi 41 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
