Wanachama wa TRA Saccos wamepata fursa ya kutumia huduma za kifedha kwa urahisi zaidi baada ya kuunganisha mifumo yake na Benki ya CRDB kupitia huduma mpya ya TRA Saccos Pesacard.

Back to Home
TRA Saccos yazindua kadi yake ya visa
Mwananchi 33 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
