Watu 64 wamefariki dunia na wengine 80 kujeruhiwa baada ya treni mbili za mwendo kasi kugongana katika Mkoa wa Toledo, katikati mwa Hispania. Ajali hiyo ilitokea asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 28, 2026.

Back to Home
Treni za mwendokasi zagongana Hispania, 64 wafariki 80 wajeruhiwa
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
