Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mstaafu Hamisa Kalombola, amewataka watumishi wa tume hiyo kushiriki kikamilifu katika usimamizi wa rasilimali za taasisi kwa kuhakikisha fedha zinazotengwa zinatumika kwa uangalifu, weledi na kuleta matokeo yaliyokusudiwa.

Back to Home
Tume Utumishi yasisitiza uwazi, uwajibikaji matumizi ya fedha
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
