Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu Kenya (KNCHR) imetaka Serikali ya nchi hiyo kuchukua hatua za haraka kubaini aliko mwanaharakati wa kisiasa Mtanzania, Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika Kaunti ya Machakos, Jumapili, Oktoba 25, 2026.

Back to Home
Tume ya Haki za Binadamu Kenya yataka uchunguzi kutoweka Mwaipaya
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
