Kuna jambo ambalo limekuwa likijitokeza mara kwa mara katika jamii yetu. Kijana anapokuwa hajaoa, wazazi wake ndiyo kila kitu. Anawapigia simu kila siku, anawatembelea mara kwa mara na anajali mahitaji yao. Lakini cha kushangaza, mara tu baada ya kuoa, baadhi ya wanaume hubadilika ghafla kana kwamba walitolewa tumboni na watu wengine.

Back to Home
TUONGEE KIUME: Kwa nini unawasahau wazazi kisa mke?
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
