Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeadhimisha miaka 65 tangu kuanzishwa kwake, kikijivunia mchango wake katika elimu ya juu, tafiti na kuandaa viongozi, huku kikiweka mbele umuhimu wa kuhifadhi mazingira kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Back to Home
UDSM yaadhimisha miaka 65 kwa elimu, tafiti, uhifadhi mazingira
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
