Loading trending stories…
Ukosefu wa uzio wavuruga ufundishaji shule ya Chunya
Back to Home

Ukosefu wa uzio wavuruga ufundishaji shule ya Chunya

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Walimu wa Shule ya Awali na Msingi Chunya mchepuo wa Kiingereza, iliyopo Kata ya Itewe, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, wamesema ukosefu wa uzio katika shule hiyo ni kikwazo katika utekelezaji wa majukumu yao kutokana na mwingiliano wa shughuli za kijamii katika eneo hilo.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.