Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Awamu ya Pili ni hatua muhimu ya kuwawezesha wananchi kupata haki bila vikwazo vya kiuchumi, akisisitiza haki haipaswi kuwa fursa ya watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha pekee.

Back to Home
Ulega: Haki si kwa matajiri, kila mwananchi anastahili
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
