Loading trending stories…
UN kuja na mpango kudhibiti matumizi ya akili unde
Back to Home

UN kuja na mpango kudhibiti matumizi ya akili unde

Mwananchi 21 minutes 1 mins read
Umoja wa Mataifa (UN) unaanzisha mpango mpya wa kushughulikia matumizi ya akili mnemba (AI) katika shughuli za kijeshi, ukiwa na lengo la kukabiliana na wasiwasi kuhusu hatari ambazo teknolojia hiyo inayokua kwa kasi inaweza kusababisha kwa binadamu.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.