Mwezi huu ukiisha nitakuwa nimekamilisha mwaka mzima sijazungumza kabisa na mtu yeyote wa familia yangu,” ananiambia Jonas, mtoto wa kiongozi mmoja wa dini hivi karibuni mjini Iringa. Jonas ni kijana ninayemkadiria kuwa na umri wa miaka thelathini.

Back to Home
Unapolazimika kujitenga na familia kuuguza majeraha
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
