Wakati Zanzibar ikijiandaa kuandaa Mkutano wa Kimataifa wa Elimu Jumuishi, imeelezwa kuwa unyanyapaa dhidi ya watoto wenye ulemavu na mahitaji maalumu bado ni kikwazo kinachowazuia baadhi yao kujiunga na shule au kukamilisha masomo yao.

Back to Home
Unyanyapaa kwa watoto wenye ulemavu wakwamisha elimu jumuishi
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
