Chama kikuu cha upinzani nchini Malawi, Malawi Congress Party (MCP), kimetaka Serikali kueleza sababu za Rais Peter Mutharika kukaa muda mrefu Afrika Kusini, huku wananchi wakikabiliwa na uhaba wa mafuta, kukatika kwa umeme na upatikanaji mgumu wa dawa katika hospitali za umma.

Back to Home
Upinzani Malawi wataka maelezo Rais Mutharika kukaa Afrika Kusini
Mwananchi 31 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
