Askari wa Jeshi la Polisi wameonekana wakifanya doria katika barabara mbalimbali, baadhi wakiwa kwenye magari na wengine wakitembea kwa miguu wakiwa na silaha na virungu.

Back to Home
Usalama ulivyoimarishwa Dar hukumu ya Lissu ikisubiriwa
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
