Mapungufu katika ushahidi wa upande wa Jamhuri ikiwemo utambuzi, maelezo yaliyodaiwa kuwa maungamo na kutowasilishwa kwa vielelezo muhimu ikiwemo panga lililodaiwa kutumika kwa mauaji ni miongoni mwa mambo yaliyowaokoa Mateso Magese na Amos Lucas dhidi ya adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Back to Home
Ushahidi dhaifu ulivyowanusuru wawili adhabu ya kitanzi
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
