Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeelekeza kesi ya kikatiba ya kupinga tozo zinazotozwa kwa watumiaji wa Daraja la Julius Nyerere, Kigamboni, isikilizwe kwa njia ya maandishi na kupanga ratiba ya kuwasilishwa kwa hoja za pande zinazohusika.

Back to Home
Usikilizwaji kesi kupinga tozo Daraja la Nyerere waiva
Mwananchi 30 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
