Utafiti mpya wa kisayansi umeibua matumaini katika mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), baada ya kubaini kuwa kingamwili maalumu zinaweza kuchelewesha kwa kiasi kikubwa kurejea kwa virusi mwilini baada ya mtu kusitisha kwa muda matumizi ya dawa za kufubaza virusi hivyo (ARV).

Back to Home
Utafiti mpya waibua matumaini ya kudhibiti VVU bila ARV
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
