Utoro kazini umeendelea kuwa miongoni mwa changamoto zinazojitokeza katika mashauri ya watumishi wa umma, hali iliyosababisha Tume ya Utumishi wa Umma kuamua kufanya utafiti ili kubaini namna bora ya kukabiliana na tatizo hilo.

Back to Home
Utoro kazini wasumbua tume, yajipa siku 60 kufanya utafiti
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
