Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk Richard Muyungi, amezitaka nchi nne zinazopakana na Ziwa Tanganyika kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na uvuvi haramu, uchafuzi wa maji, kupungua kwa ubora wa maji na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Back to Home
Uvuvi haramu, uchafuzi vyatia hofu Ziwa Tanganyika
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
