Uwajibikaji na uwazi katika uongozi vimetajwa kuwa msingi wa mafanikio na ukuaji wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Bandarini Saccos Limited, huku Bodi ya Uongozi ikiweka wazi mafanikio yaliyopatikana, changamoto zilizopo na mikakati ya kuimarisha chama hicho kuelekea mwaka 2027.

Back to Home
Uwajibikaji watajwa kuwa nguzo ya mafanikio ya Bandarini Saccos
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
