Vijana zaidi ya 250 kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kukutana Dar es Salaam katika Kongamano la kujadili na kuweka ajenda zinazohusu afya, uongozi, uchumi, usawa wa kijinsia na ustawi wao.

Back to Home
Vijana kukutana Dar kujadili afya, uchumi
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
