Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Juma Sweda, amewataka wataalamu wa kilimo kusimamia kikamilifu vijana na wanawake wanaonufaika na mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), ili wazalishe mbegu bora za viazi mviringo zitakazokuwa na soko la uhakika ndani na nje ya wilaya hiyo.

Back to Home
Vijana, wanawake wahimizwa kuzalisha mbegu bora za viazi
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
