Wanu amesema baadhi ya vijana wamekuwa wakikosa nafasi katika fursa zinazojitokeza ndani na nje ya nchi kutokana na kukosa ujuzi wa vitendo unaohitajika, hali inayowafanya washindwe kunufaika na nafasi hizo.

Back to Home
Vijana watakiwa kutumia vyuo vya ufundi kujiandaa na ajira
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
