Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imetoa mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Sh2.1 bilioni kwa vikundi 96 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, kupitia asilimia 10 ya mapato yake ya ndani.

Back to Home
Vikundi 335 vyanufaika na mikopo ya asilimia 10, Kahama
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
