Loading trending stories…
Viongozi wa vijiji Mtama, watuhumiwa kupewa fedha na wafugaji
Back to Home

Viongozi wa vijiji Mtama, watuhumiwa kupewa fedha na wafugaji

Mwananchi 31 minutes 1 mins read
Baadhi ya viongozi wa serikali za vijiji na wenyeviti wa vitongoji katika Halmashauri ya Mtama wanatuhumiwa kupokea fedha kutoka kwa wafugaji wanaoingiza mifugo katika maeneo yao, hali inayodaiwa kuchangia kuongezeka kwa mifugo inayoingia bila kufuata utaratibu.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.