Loading trending stories…
Wadau Maswa wataka hatua zaidi marufuku ya mifuko ya plastiki
Back to Home

Wadau Maswa wataka hatua zaidi marufuku ya mifuko ya plastiki

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Wakati Serikali ikiendelea kusisitiza marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki nchini, baadhi ya wafanyabiashara mjini Maswa mkoani Simiyu, wametaka hatua zaidi zichukuliwe kudhibiti uzalishaji na usambazaji wa mifuko hiyo, wakieleza kuwa bado inapatikana katika maeneo ya biashara.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.