Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeitaka Serikali kutenga Oktoba 29 ya kila mwaka kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi ya waathirika wa matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Back to Home
Wadau washauri Oktoba 29 iwe siku ya kusaka amani
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
