Loading trending stories…
Wadau watakiwa kuimarisha ushirikiano kuongeza uzalishaji wa chakula
Back to Home

Wadau watakiwa kuimarisha ushirikiano kuongeza uzalishaji wa chakula

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Wadau wa sekta ya kilimo nchini wametakiwa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi, ili kuongeza uzalishaji wa chakula, kuboresha upatikanaji wa mbegu bora na kuhakikisha wakulima wanapata huduma za ugani zinazowawezesha kukabiliana na changamoto za uzalishaji.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.