Wadau wa elimu, saikolojia na malezi wamependekeza mambo matatu ya kupata suluhu dhidi ya watoto wenye changamoto za kimaadili ikiwemo kufanya mazungumzo kati yao na wazazi badala ya kuwahukumu wanapoonekana katika video zinazosambaa mitandaoni.

Back to Home
Wadau: Wazazi, walezi wawasikilize watoto badala ya kuwahukumu
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
