Wafanyabiashara wa Soko la Dampo, lililopo Buhongwa jijini Mwanza, wameiomba Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuboresha huduma za usafi na kupunguza gharama za matumizi ya vyoo, wakieleza kuwa hali hiyo inawaongezea gharama za uendeshaji wa biashara zao zenye mitaji midogo.

Back to Home
Wafanyabiashara Soko la Dampo walalama gharama za vyoo, Meya ajibu
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
