Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka ameagiza kukamatwa wafugaji 43 wanaotuhumiwa kuchochea migogoro kati yao na wakulima huku wakidaiwa kuwakatisha watoto masomo yao kwa ajili ya shughuli zao.

Back to Home
Wafugaji 43 Kilosa wadaiwa kuchochea migogoro
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
