Wanafunzi watatu waliohitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Mufindi, mkoani Iringa, wametembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha Ilembula, Wilaya ya Wanging’ombe, mkoani Njombe na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali.

Back to Home
Wahitimu kidato cha nne wawafariji watoto yatima Ilembula
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
