Wakati Serikali ikiendelea kuhimiza matumizi sahihi ya teknolojia ya Akili Unde (AI), wahitimu wa vyuo nchini wameiomba Wizara ya Elimu kuiingiza teknolojia hiyo katika mitaala ya elimu ya juu ili kuwawezesha wanafunzi kupata maarifa badala ya kuitumia kwa kutegemea ubunifu pekee.

Back to Home
Wahitimu TIA wataka AI ifundishwe vyuoni
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
