Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia na kumhoji Lameck Isack, mhitimu wa Kidato cha nne mwaka 2026, kwa tuhuma za kumuua David Lucas, aliyekuwa mwenzake kwa kumchoma kwa kitu chenye ncha kali shingoni na ubavuni upande wa kulia.

Back to Home
Wahitimu wagombania msichana, mmoja atuhumiwa kumuua mwenzake
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
