Wajasiriamali zaidi ya 650 wamekusanyika katika maonyesho ya tano ya kitaifa ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido), yanayoendelea wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, kutafuta fursa za kukuza biashara zao, kupata ujuzi na kuunganishwa na huduma muhimu za kibiashara.

Back to Home
Wajasiriamali 653 kusaka fursa maonyesho ya Sido Kahama
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
