Wakazi wa Kitongoji cha Ichenjezya Mama, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wameuomba Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) kufanyia matengenezo barabara yao, wakihofia kukatika kwa mawasiliano wakati wa mvua za El-Nino zinazotarajiwa kunyesha.

Back to Home
Wakazi Mbozi waiangukia Tarura ukarabati wa barabara kukabiliana na El-Nino
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
