Loading trending stories…
Wakazi Mwanza walalamikia honi za bodaboda, RPC atangaza operesheni
Back to Home

Wakazi Mwanza walalamikia honi za bodaboda, RPC atangaza operesheni

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Wakazi wa Kata ya Luchelele jijini Mwanza wamelalamikia baadhi ya bodaboda zinazofanyiwa marekebisho ya mifumo ya honi na kusababisha kutoa sauti kubwa zinazofanana na milipuko, wakisema hali hiyo inawashtua na kuwafanya kudhani ni mabomu yanayolipuka au eneo lao limevamiwa, hasa nyakati za usiku.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.