Kwa muda mrefu, tunapozungumzia namna ya kuwavutia vijana kuingia na kubaki katika kilimo, tumekuwa tukisisitiza mafunzo, ushauri wa kilimo, ujasiriamali na matumizi ya teknolojia. Lakini uzoefu kutoka katika utekelezaji wa programu za Norges Vel nchini Tanzania kupitia miradi yake ya kuendeleza kilimo cha mpunga, hususan COMRICE, unaonyesha umuhimu wa kuunganisha maarifa na umiliki au upatikanaji wa mali za uzalishaji.

Back to Home
Wakulima vijana wanachohitaji ni zaidi ya ushauri
Mwananchi 31 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
