Mahakama ya Rufani iemwaachia huru watu wawili Abdallah Chande na Crispin Francis, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini zenye uzito wa kilo 7.73.

Back to Home
Waliohukumiwa maisha kwa kusafirisha heroini walivyoachiwa
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
