Loading trending stories…
Wamiliki wa viwanda wapewa siku 14 kurekebisha uchafuzi wa mazingira
Back to Home

Wamiliki wa viwanda wapewa siku 14 kurekebisha uchafuzi wa mazingira

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dk Nicas Mawazo amevipa siku 14 viwanda viwili vilivyopo katika manispaa hiyo kurekebisha changamoto za kimazingira zinazolalamikiwa na wananchi, ikiwemo kutiririsha maji taka katika maeneo ya makazi na uchafuzi wa hewa.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.