Wanafunzi wanane wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za udanganyifu wa mitihani kwa kuingia darasani na kuwafanyia wenzao.

Back to Home
Wanafunzi wanane MUST mbaroni kwa tuhuma za udanganyifu wa mitihani
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
